FTakipcikasmahilesi
Pobieranie wideo
Zaloguj się

Dogo Chande ft Dinoo mc - NAWAZA (official Music Audio)

1.950 wyświetleniaCzas trwania: 5:16
Oglądaj na YouTubePrzejdź do kanału
Opis

SUBSCRIBE NOW ..!! 《@DogoChandetz 》 Huu ni wimbo maalum kwa ajili ya kila mpambanaji mtaani anayetafuta manoti na asiyekata tamaa. Licha ya changamoto na huzuni za maisha, tunapambana hadi kieleweke! Kila mmoja wetu anapitia nyakati za huzuni na changamoto, lakini uzuri wa maisha ni kuwa jasiri na kufosi mradi tu mkono uende kinywani. Wimbo huu ni sauti ya vijana wote wanaohaso asubuhi na mapema na kurudi usiku kwa ajili ya kusaka manoti. Sisi ni madozi na masele wa kibosi kwenye maisha yetu! Kama unajua wewe ni mpambanaji na unatafuta manoti kila siku, huu wimbo ni wako! Drop comment yako hapo chini utuambie ni mstari gani umekubamba zaidi. #Singeli #Nawaza #DogoChande #ngeamazing #ngeamazingrecords

Tagi
#singei#singeli mpya#singeli mpya 2026#audio singeli#nyimbo mpya#diamond platnumz#rayvanny#konde boy#harmonize#huyu ni nani#kasongo#bongo fleva#mnanda#mzee wa wax#marioo#d voice#singei beat
Filmy
Bot