3:28Dogo Chande ft Dinoo mc - NAWAZA (official Music Audio)
1.862 visualizacionesDuración: 5:16
Descripción
SUBSCRIBE NOW ..!! 《@DogoChandetz 》 Huu ni wimbo maalum kwa ajili ya kila mpambanaji mtaani anayetafuta manoti na asiyekata tamaa. Licha ya changamoto na huzuni za maisha, tunapambana hadi kieleweke! Kila mmoja wetu anapitia nyakati za huzuni na changamoto, lakini uzuri wa maisha ni kuwa jasiri na kufosi mradi tu mkono uende kinywani. Wimbo huu ni sauti ya vijana wote wanaohaso asubuhi na mapema na kurudi usiku kwa ajili ya kusaka manoti. Sisi ni madozi na masele wa kibosi kwenye maisha yetu! Kama unajua wewe ni mpambanaji na unatafuta manoti kila siku, huu wimbo ni wako! Drop comment yako hapo chini utuambie ni mstari gani umekubamba zaidi. #Singeli #Nawaza #DogoChande #ngeamazing #ngeamazingrecords
Etiquetas
Vídeos



